id
stringlengths
1
5
label
int64
0
17
text
stringlengths
1
221
label_text
stringclasses
18 values
15799
7
nionyeshe barua pepe mpya
email
15800
7
angalia barua pepe zangu mpya
email
15801
7
nilipokea barua pepe kutoka kwa mutinda na alisema nini
email
15803
7
mtumie barua pepe dada yangu kuhusu siku ya kuzaliwa ya mama jane tunapaswa kufikiria kuandaa sherehe kwenye bustani
email
15804
7
tumia james barua pepe kuhusiana na mchezo wa softball james tunajitaji kupata vinywaji kabla ya kuenda huko
email
15806
7
je mimi nina barua pepe yoyote kutoka kwa juma
email
15807
7
olly nina barua pepe zozote kutoka kwa juma
email
15808
7
olly rashid bado ana barua pepe yangu
email
15810
7
mutinda amenijibu kweli
email
15811
7
olly wacha nijue nikipata ujumbe kutoka kwa asha kuhusu sherehe
email
15813
7
asha niarifu kuhusu barua pepe kutoka kwa dave kuhusu mkutano huo
email
15814
7
niarifu kuhusu barua pepe kutoka kwa juma kuhusu mkutano huo
email
15816
7
habari yoyote kutoka kwa asha
email
15817
7
barua pepe zozote za hivi majuzi kutoka kwa emma
email
15818
7
nilipata majibu yoyote kutoka kwa abdi
email
15819
7
tengeneza mawasiliano mapya
email
15820
7
badilisha barua pepe ya mama yangu kwenye kitabu changu cha simu
email
15821
4
nini kipya
news
15822
4
nisasishe
news
15823
7
nilipata kitu kipya kutoka kwa bosi wangu
email
15824
7
kuna mabadiliko kwenye barua pepe
email
15826
7
kujibu yote niko njiani
email
15827
7
nenda kwa anwani na uongeze barua pepe mpya kwenye orodha
email
15830
7
tuma hiyo
email
15831
7
anzisha barua pepe mpya kwa
email
15832
7
tuma barua pepe kwa mwasiliani kama ifuatavyo
email
15833
7
nenda kwa barua pepe na utume ujumbe kwa
email
15834
7
je kuna barua pepe yangu kwenye kisanduku pokezi ambazo haijasomwa
email
15835
7
tafadhali jibu barua pepe yangu ya hivi karibuni
email
15840
7
tuma barua pepe kwa ray
email
15842
7
andika barua pepe ya mpokeaji asha
email
15846
7
imefikaje kwetu
email
15848
7
mtumie mama yangu barua pepe
email
15850
7
tuma barua pepe kwa sjobs at apple dot com
email
15851
7
soma barua pepe kutoka kwa julia
email
15852
7
soma barua pepe subject chemistry
email
15853
7
nina barua pepe zozote kuhusu kemia
email
15854
7
sambaza barua pepe kwa barua pepe yangu mpya olly
email
15855
7
sambaza barua pepe kwa barua pepe yangu mpya
email
15856
7
tuma barua pepe kwa anwani za barua pepe za hivi karibuni
email
15859
7
sambaza yaliyoonyeshwa kwa blahblah at blah dot com na barua pepe
email
15860
7
mtumie mama barua pepe ukimwuliza kuhusu hali ya anga
email
15864
7
alex imehifadhiwa katika orodha yangu ya anwani
email
15865
7
kuna anwani ya barua pepe ya asha kwenye orodha
email
15866
7
kuna watu wangapi walioitwa juma
email
15869
7
fungua wasifu wa juma kutoka kwa mawasiliano yangu
email
15870
7
nambari ya barua pepe ya john ni nini
email
15871
7
pata mawasiliano yote yenye jina joni
email
15872
7
niambie ni nani nilipata barua pepe ya mwisho
email
15873
7
tafadhali nisomee barua pepe ya mwisho
email
15874
7
tafadhali angalia barua pepe mpya kwenye kisanduku pokezi
email
15875
7
tuma barua pepe kwa asha kuwa niko njiani kuelekea nyumbani
email
15876
7
tuma nakala ya bili kwa abdi kwa barua pepe
email
15878
7
tafuta anwani ya makazi ya kiongozi wa timu yangu
email
15879
7
niletee nambari ya simu ya abdi
email
15881
7
niko na barua pepe yoyote mpya
email
15882
7
angalia barua pepe mpya kwa kisanduku pokezi changu
email
15883
7
nataka kumjibu juma
email
15884
7
tafuta sasisho zangu za barua pepe
email
15887
7
tafadhali unaweza kutuma barua pepe kwa mume wangu
email
15888
7
tafadhali tafuta orodha ya mikahawa yote katika hili eneo kisha uzitume kwa barua pepe ya mume wangu
email
15889
7
tafadhali unaweza kutuma na barua pepe kwa rafiki yangu susana kumjulisha kuwa sitaenda kanisani kesho
email
15891
7
kuna barua pepe yoyote mpya kutoka kwa baba yangu
email
15892
7
mtumie franco barua pepe
email
15894
7
ongeza john at gmail dot com kwa anwani
email
15895
7
ongeza barua pepe mpya kwa anwani
email
15896
7
kiungo john katika gmail dot com kwa john katika mawasiliano
email
15898
7
mwandikie asha barua pepe ya heri ya mwaka mpya
email
15899
7
lini siku ya kuzaliwa ya fahim
email
15901
7
nambari ya simu ya juma ni gani
email
15902
7
tafadhali jibu barua pepe ya mwenzangu kuhusu swali lake
email
15905
7
angalia barua pepe zote mpya na utie alama kuwa nyota
email
15907
7
tuma nitafanya asante kwa john kama jibu la ujumbe wake wa mwisho
email
15908
7
tuma barua pepe ya jibu asante sana kwa john kwa gmail dot com
email
15912
7
barua pepe juma
email
15913
7
mimi nina barua pepe yoyote kutoka kwa asha
email
15914
7
mimi nina barua pepe yoyote ya kusoma kutoka kwa juma
email
15915
7
orodhesha barua pepe mpya
email
15916
7
onyesha barua pepe za hivi punde
email
15917
7
orodhesha barua pepe za saa iliyopita
email
15918
7
ongeza anwani mpya kwa mutinda
email
15919
7
nahitaji kuongeza anwani hii mpya ya sam smith ssmith kwenye yahoo dot com
email
15922
7
angalia barua pepe mpya kutoka kwa juma
email
15923
7
angalia barua pepe kutoka kwa mwende kwa saa iliyopita
email
15924
7
orodhesha barua pepe za leo kutoka kwa jim
email
15925
7
tumia familia barua pepe
email
15926
7
tuma barua pepe kwa emma kumwambia kwamba simu yangu imerejea kwenye huduma
email
15927
7
tuma barua pepe kwa asha ili nikutane naye jumamosi saa saba mchana
email
15928
7
tuma barua pepe kwa juma kwamba samahani sikugundua alikuwa mgonjwa sana
email
15929
7
angalia ili kuona kama barua pepe mpya zimetoka kwa abdi
email
15931
7
nijulishe lini barua pepe mpya itafika kutoka kwa asha
email
15932
7
mimi nina barua pepe ngapi mpya
email
15934
7
unaweza kunisoma barua pepe zangu za hivi punde
email
15935
7
barua pepe zangu mpya ni zipi
email
15936
7
ongeza barua pepe mpya kwa anwani zangu
email
15937
7
ongeza barua pepe kwa nambari za simu
email
15938
7
ongeza barua pepe hii orodha yangu ya mwasiliani
email
15940
7
jibu barua pepe ya mwisho kabisa
email
15941
7
tafadhali jibu barua pepe
email
15943
7
tafadhali unaweza kuweka kitu katika gmail dot com katika mawasiliano yangu
email