id
stringlengths
1
5
label
int64
0
17
text
stringlengths
1
221
label_text
stringclasses
18 values
14433
12
ni kiasi gani rupia za india kwa dola za amerika leo
qa
14434
12
ni kiasi gani cha shilingi kwa dola leo
qa
14435
12
nini maana ya huzuni
qa
14436
12
ni nini ufafanuzi wa pamoja
qa
14438
12
tafuta kiwango cha ubadilishanaji cha dola ya marekani kwa shilingi
qa
14439
12
tafuta kiwango cha ubalishaji wa dola ya marekani kwa dola
qa
14441
12
nairobi ni wapi
qa
14443
12
je falklands ipo marekani kusini
qa
14445
6
niambie naweza kuenda wapi katika ziara ya ulimwengu na ni maeneo gani ambayo ni muhimu zaidi
recommendation
14446
12
ni bara gani ambalo lina ukuaji wa juu zaidi wa pamba na nini ni wastani wa uzalishaji
qa
14447
12
ni kipi kiwango cha wastani cha mapato kati ya ulaya na asia
qa
14448
12
kazi ya brenda wairimu inaendeleaje
qa
14451
12
maana ya jina
qa
14454
12
ubadilishaji wa sarafu kati ya dola na yan
qa
14455
12
tafuta mahali
qa
14456
12
tafuta ramani
qa
14459
12
tafadhali eleza boda boda
qa
14462
12
pata maelezo kuhusu rais uhuru kenyatta
qa
14463
12
tafuta maelezo kuhusu kenya
qa
14464
6
migahawa ya karibu sana ipatikanayo wakati huu
recommendation
14466
12
je karura waterfall inapatika wapi nairobi
qa
14467
12
mji mkuu wa kenya ni upi
qa
14468
12
motorola inakwenda kwa nini leo
qa
14469
12
ni nini bei ya safaricom kwenye soko la hisa
qa
14470
12
hisa ya f. flat ni shilingi ngapi
qa
14471
12
historia ya daniel moi
qa
14472
12
mafanikio ya catherine dereba
qa
14474
12
pata bei ya hisa kwa jina
qa
14476
12
nini asilimia ishirini ya mia moja ishirini
qa
14477
12
ni nini salio ukigawanya mia tano ishirini na moja kwa tatu
qa
14478
12
jibu la ishirini na tatu jumlisha na hamsini na mbili
qa
14480
9
niambie kasi ya kwenda jua
general
14482
1
nieleze kama naweza tumia gari la moshi ama basi kupita mtaa leo
transport
14483
1
ni wakati gani mzuri wa kusafiri kwenda kenya ni uwanja gani wa ndege wa kutumia
transport
14484
9
ni wapi kuna maeneo bora ya kampuni kufanyia kazi katika kitongoji
general
14485
12
shilingi moja ni kiasi gani kenya
qa
14486
12
ni thamani gani ya dola ya canada iko ndani ya amerika
qa
14489
12
ni mji gani wa nyumbani wa ukumbi wa michezo wa bomas
qa
14491
12
brenda wairimu ni mrefu kiasi gani
qa
14493
12
ninaweza kutumia wapi neno hili
qa
14494
12
thamani ya hisa za e.a.b.l. ni nini
qa
14495
12
nipe kiwango cha ubadilishaji kati ya dola za marekani na yeni ya japani
qa
14496
12
nipe kiwango cha ubadilishaji kati ya dola ya marekani na shilingi ya kenya
qa
14497
12
nipe maelezo kuhusu televisheni
qa
14499
12
nipatie maelezo kuhusu mtazamo
qa
14500
12
tafadhali nijulishe idadi ya watu kenya
qa
14501
12
nijulishe tu eneo la bara la asia
qa
14502
12
nipe tarehe za kuzaliwa za daniel arap moi
qa
14503
12
nelson havi alifanya mikutano mingapi
qa
14506
12
mbona siasa imekidhiri sana hivi majuzi
qa
14507
12
hali ya sasa ya kutatua uwiano wa kusuluhisha uhusiano wa jumla fizikia ya quantum
qa
14510
12
siku ya kuzaliwa kwa otile brown ni lini
qa
14511
12
bob nyanja anaishi wapi
qa
14512
12
nipatie bei ya kufungua ya hisa za intel leo
qa
14513
12
nipe bei ya ufunguzi wa hisa za safaricom leo
qa
14514
12
nani rais wa sasa wa kenya
qa
14515
12
bei ya simu ya nokia ni ngapi
qa
14517
12
shilingi moja ni kiasi gani kwa dola
qa
14518
12
nipatie ufafanuzi wa neno silaha
qa
14519
12
nipe ufafanuzi wa neno kiburi
qa
14520
12
nipe ufafanuzi wa neno kumbatia
qa
14521
12
tafadhali eleza kuhusu microwave
qa
14522
12
ni nini ufafanuzi wa pwd
qa
14523
12
mombasa iko wapi
qa
14524
1
nipe maelekezo ya kuendesha gari kutoka nairobi hadi mombasa
transport
14525
12
ni nini maarufu lamu
qa
14528
12
benki ipi itapena kiwango kizuri kwa sarafu ninazo mimi
qa
14529
12
kiwango cha shilingi ya kenya dhidi ya dola ya marekani
qa
14531
12
fafanua hili
qa
14534
12
ipi siku ya kuzaliwa ya chris kirubi
qa
14536
12
kwa nini gotse alimfyatulia mahatma gandhi
qa
14537
12
mwamba
qa
14538
12
nifafanulie kuhusu jiwe
qa
14540
9
nataka kujua zaidi kuhusu mtu huyu
general
14543
12
tafadhali tafuta bei ya hisa za kencell
qa
14546
12
ni nchi gani ina mpaka na kenya
qa
14547
12
niambie historia familia ya nadia mukami
qa
14548
12
je franco ana kashfa yoyote
qa
14550
12
ni ipi bei ya kufunga ya kampuni ya axle
qa
14551
12
tafadhali onyesha bei ya kufungua ya hisa za kra
qa
14552
9
itakuwa nzuri ikiwa unaweza kucheza na watoto wangu
general
14554
12
orodhesha bei ya hisa ya kampuni hii
qa
14556
12
nijulishe kuhusu bei ya hisa ya kampuni hii
qa
14557
12
pascal tokodi amecheza filamu gani
qa
14558
12
nikita kering siku ya kuzaliwa
qa
14560
15
unahisi vipi baada ya kuskia wimbo wa nonini
music
14561
9
ni vitu gani vinamfurahisha mwanamke
general
14562
12
badilisha dola tano hadi shilingi
qa
14563
12
ni kiwango gani cha ubadilishaji wa shilingi na dola ya marekani
qa
14566
12
fafanua elimu ya nyota
qa
14568
12
je ni wapi kwenye joto zaidi kwenye ardhi
qa
14569
12
ni nchi gani idadi kubwa ya watu duniani
qa
14570
12
umri wa brad pitt
qa
14571
12
angelina jolie wanandoa
qa
14572
12
bei ya chini kabisa ya hisa ya microsoft leo
qa
14573
12
niambie utabiri wa hisa za microsoft siku thelathini kabla kwa kifupi
qa
14575
12
ni sarafu gani ambayo uganda hutumia
qa
14576
12
nne ongeza nne
qa
14577
12
ni nini mzizi wa mraba wa tisini na saba
qa
14578
12
moja inaweza gawanyika kwa tatu
qa