Dataset Viewer
audio
audioduration (s) 1.63
10.6
| sentence
stringlengths 3
173
| speaker
stringclasses 57
values | transcription_normalised
stringlengths 3
173
|
---|---|---|---|
Kila kundi likiwa na shule mia moja bora.
|
speaker_14
|
kila kundi likiwa na shule mia moja bora.
|
|
Katika mapambano hayo alifuata mapokeo ya Mt.
|
speaker_14
|
katika mapambano hayo alifuata mapokeo ya mt.
|
|
Uko katika Magharibi ya kati ya nchi.
|
speaker_14
|
uko katika magharibi ya kati ya nchi.
|
|
Iliitwa pia "mkono".
|
speaker_14
|
iliitwa pia "mkono".
|
|
Kwa watoto kiwango na kasi lazima iwe chini.
|
speaker_14
|
kwa watoto kiwango na kasi lazima iwe chini.
|
|
Alifanya mahojiano mengi na viongozi wa kimataifa.
|
speaker_14
|
alifanya mahojiano mengi na viongozi wa kimataifa.
|
|
Haiwezekani kufikiria upendo mkuu kuliko huo.
|
speaker_14
|
haiwezekani kufikiria upendo mkuu kuliko huo.
|
|
Mji ulianzishwa kwenye kisiwa kilichopo karibu sana na bara.
|
speaker_14
|
mji ulianzishwa kwenye kisiwa kilichopo karibu sana na bara.
|
|
Kila idadi ya watu ilikuwa na historia tofauti kikabila, kijamii, kitamaduni, na lugha.
|
speaker_14
|
kila idadi ya watu ilikuwa na historia tofauti kikabila, kijamii, kitamaduni, na lugha.
|
|
Kaunti ya marsabit ni kavu.
|
speaker_14
|
kaunti ya marsabit ni kavu.
|
|
Lakini alikuwa na matatizo mawili juu ya Papa wa Roma.
|
speaker_14
|
lakini alikuwa na matatizo mawili juu ya papa wa roma.
|
|
Rasmi huwa sherehe za utoaji wa tuzo mbalimbali.
|
speaker_14
|
rasmi huwa sherehe za utoaji wa tuzo mbalimbali.
|
|
Habari hiyo inahusu safari nyingine iliyofuata.
|
speaker_14
|
habari hiyo inahusu safari nyingine iliyofuata.
|
|
kwa kudai uwepo wa roho pia katika umbile la binadamu.
|
speaker_14
|
kwa kudai uwepo wa roho pia katika umbile la binadamu.
|
|
Anaheshimiwa kama mtakatifu bikira.
|
speaker_14
|
anaheshimiwa kama mtakatifu bikira.
|
|
Katika Mfumo wa Kimataifa wa Vipimo, urefu ni kiasi chochote cha umbali.
|
speaker_14
|
katika mfumo wa kimataifa wa vipimo, urefu ni kiasi chochote cha umbali.
|
|
Lakini hiyo inategemea mazingira na malezi.
|
speaker_14
|
lakini hiyo inategemea mazingira na malezi.
|
|
Kiingereza "visa" ni umbo tofauti la Kilatini hiki.
|
speaker_14
|
kiingereza "visa" ni umbo tofauti la kilatini hiki.
|
|
Reli ni sehemu muhimu za miundombinu wa nchi.
|
speaker_14
|
reli ni sehemu muhimu za miundombinu wa nchi.
|
|
Mkono wa mashariki unaonekana katika Ziwa Turkana na kuelekea kusini.
|
speaker_14
|
mkono wa mashariki unaonekana katika ziwa turkana na kuelekea kusini.
|
|
Tabia nyingine za kawaida ni kuwa na taa mbele na nyuma.
|
speaker_14
|
tabia nyingine za kawaida ni kuwa na taa mbele na nyuma.
|
|
Naye pia aliigiza katika filamu mbalimbali, kwa mfano.
|
speaker_14
|
naye pia aliigiza katika filamu mbalimbali, kwa mfano.
|
|
Lakini si kwa mema.
|
speaker_14
|
lakini si kwa mema.
|
|
Hivi sasa hutumika zaidi kwa mechi za mpira wa miguu.
|
speaker_14
|
hivi sasa hutumika zaidi kwa mechi za mpira wa miguu.
|
|
Alama yake ni µm.
|
speaker_14
|
alama yake ni µm.
|
|
Hadi leo ziwa na mazingira yake ni kitovu cha uzalishaji wa mafuta nchini Venezuela.
|
speaker_14
|
hadi leo ziwa na mazingira yake ni kitovu cha uzalishaji wa mafuta nchini venezuela.
|
|
Inaweza pia kumaanisha "mapenzi ya akili.
|
speaker_14
|
inaweza pia kumaanisha "mapenzi ya akili.
|
|
Kufuatana na shairi hilo alikuwa theluthi moja binadamu na theluthi mbili mungu.
|
speaker_14
|
kufuatana na shairi hilo alikuwa theluthi moja binadamu na theluthi mbili mungu.
|
|
Kunako tarehe moja mwezi wa pili
|
speaker_14
|
kunako tarehe moja mwezi wa pili
|
|
Alama yake ni Au.
|
speaker_14
|
alama yake ni au.
|
|
Huu ulikuwa uhamisho mkubwa zaidi katika historia.
|
speaker_14
|
huu ulikuwa uhamisho mkubwa zaidi katika historia.
|
|
Nchi ya maajabu.
|
speaker_14
|
nchi ya maajabu.
|
|
Baadhi ya sifa hizo kuna mahali na mwendo.
|
speaker_14
|
baadhi ya sifa hizo kuna mahali na mwendo.
|
|
Ni msimamizi wa mtandao na wa wanafunzi.
|
speaker_14
|
ni msimamizi wa mtandao na wa wanafunzi.
|
|
Kwa jumla zipo hadithi ambazo ni za kubuni na zingine za kihistoria.
|
speaker_14
|
kwa jumla zipo hadithi ambazo ni za kubuni na zingine za kihistoria.
|
|
Sehemu kuu ya chakula hiki ni nyama ya nguruwe.
|
speaker_14
|
sehemu kuu ya chakula hiki ni nyama ya nguruwe.
|
|
Yeye, kama Sydney, ana maarifa katika nyanja mbalimbali.
|
speaker_14
|
yeye, kama sydney, ana maarifa katika nyanja mbalimbali.
|
|
Inapakana na Wilaya ya Muheza na nchi ya Kenya upande wa kaskazini.
|
speaker_14
|
inapakana na wilaya ya muheza na nchi ya kenya upande wa kaskazini.
|
|
Mfalme Abdullah bin al-Husayn alianzisha hapa mji mkuu wake.
|
speaker_14
|
mfalme abdullah bin al-husayn alianzisha hapa mji mkuu wake.
|
|
Kwa kawaida rangi yao ni njano lakini nyeupe na kijivu pia.
|
speaker_14
|
kwa kawaida rangi yao ni njano lakini nyeupe na kijivu pia.
|
|
Machafuko hayo yanachangia kupanda kwa halijoto duniani.
|
speaker_14
|
machafuko hayo yanachangia kupanda kwa halijoto duniani.
|
|
Upande wa magharibi ni maji wa Ghuba ya Meksiko.
|
speaker_14
|
upande wa magharibi ni maji wa ghuba ya meksiko.
|
|
Panya wengi huishi kati ya wanadamu.
|
speaker_14
|
panya wengi huishi kati ya wanadamu.
|
|
Rangi yake ni nyeupe hadi buluu-nyeupe.
|
speaker_14
|
rangi yake ni nyeupe hadi buluu-nyeupe.
|
|
Alama yake ni Be.
|
speaker_14
|
alama yake ni be.
|
|
Nyota kubwa inamaanisha utawala wa chama cha kikomunisti.
|
speaker_14
|
nyota kubwa inamaanisha utawala wa chama cha kikomunisti.
|
|
Hata hivyo kilomita za mwisho za barabara zina matatizo hasa majira ya mvua.
|
speaker_14
|
hata hivyo kilomita za mwisho za barabara zina matatizo hasa majira ya mvua.
|
|
Tawimto kubwa ni Mto Mweusi.
|
speaker_14
|
tawimto kubwa ni mto mweusi.
|
|
Kwa kawaida hutokana na maambukizi.
|
speaker_14
|
kwa kawaida hutokana na maambukizi.
|
|
Aliandika mengi pamoja na tamthiliya, shairi na maigizo.
|
speaker_14
|
aliandika mengi pamoja na tamthiliya, shairi na maigizo.
|
|
Kata ina kanisa kubwa la Katoliki la Mt.
|
speaker_14
|
kata ina kanisa kubwa la katoliki la mt.
|
|
Amepata kutambuliwa kote Afrika na Amerika.
|
speaker_14
|
amepata kutambuliwa kote afrika na amerika.
|
|
Ni mji mkubwa wa pekee nchini.
|
speaker_14
|
ni mji mkubwa wa pekee nchini.
|
|
Tangu kale wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama watakatifu.
|
speaker_14
|
tangu kale wanaheshimiwa na kanisa katoliki na waorthodoksi kama watakatifu.
|
|
Tafsiri ya jina hilo ni "Hadhi ya Binadamu".
|
speaker_14
|
tafsiri ya jina hilo ni "hadhi ya binadamu".
|
|
Alipokuwa kijana alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu.
|
speaker_14
|
alipokuwa kijana alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu.
|
|
Imekuwa kitovu cha uchumi, utamaduni na michezo.
|
speaker_14
|
imekuwa kitovu cha uchumi, utamaduni na michezo.
|
|
Jina linatokana na lile la mto Mara.
|
speaker_14
|
jina linatokana na lile la mto mara.
|
|
Ndiyo asili ya jina.
|
speaker_14
|
ndiyo asili ya jina.
|
|
Hayajulikani mengine kuhusu historia yake, ila tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.
|
speaker_14
|
hayajulikani mengine kuhusu historia yake, ila tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.
|
|
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake
|
speaker_14
|
sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake
|
|
Kwa njia ya Kristo Bwana wetu.
|
speaker_14
|
kwa njia ya kristo bwana wetu.
|
|
Leo hii kuna takriban watu nusu milioni kisiwani.
|
speaker_14
|
leo hii kuna takriban watu nusu milioni kisiwani.
|
|
Bafur mahali pa majina na mila ya jangwa juu ya Bafur kuishi, lakini kidogo.
|
speaker_14
|
bafur mahali pa majina na mila ya jangwa juu ya bafur kuishi, lakini kidogo.
|
|
Kulikuwa na juhudi kubwa kutoa huduma mbadala mtandaoni.
|
speaker_14
|
kulikuwa na juhudi kubwa kutoa huduma mbadala mtandaoni.
|
|
Aliwahi kuwa Makamu wa Rais na alifariki akiwa Waziri wa Usalama wa Ndani.
|
speaker_14
|
aliwahi kuwa makamu wa rais na alifariki akiwa waziri wa usalama wa ndani.
|
|
Wakati mwingine Bulgaria huhesabiwa hapa pia.
|
speaker_14
|
wakati mwingine bulgaria huhesabiwa hapa pia.
|
|
Pia aliteuliwa kama waziri msaidizi wa kazi za umma.
|
speaker_14
|
pia aliteuliwa kama waziri msaidizi wa kazi za umma.
|
|
Maana ya Jumamosi, Jumapili nakadhalika.
|
speaker_14
|
maana ya jumamosi, jumapili nakadhalika.
|
|
Aliandika kwa lugha ya Kilatini.
|
speaker_14
|
aliandika kwa lugha ya kilatini.
|
|
Petro huko Vatikano, moja ni ya kwake.
|
speaker_14
|
petro huko vatikano, moja ni ya kwake.
|
|
Kuwa makini na maneno yako.
|
speaker_14
|
kuwa makini na maneno yako.
|
|
Chakula kikuu ni ndizi.
|
speaker_14
|
chakula kikuu ni ndizi.
|
|
Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kigadaba-Mudhili iko katika kundi la Kiparji-Gadaba.
|
speaker_14
|
kufuatana na uainishaji wa lugha, kigadaba-mudhili iko katika kundi la kiparji-gadaba.
|
|
Kanisa hilo lina pia jimbo la Mt.
|
speaker_14
|
kanisa hilo lina pia jimbo la mt.
|
|
Madhara ya jumla ya kiuchumi ya mabadiliko ya hali ya anga hayana uhakika.
|
speaker_14
|
madhara ya jumla ya kiuchumi ya mabadiliko ya hali ya anga hayana uhakika.
|
|
Kinyume chake ni usiku kati.
|
speaker_14
|
kinyume chake ni usiku kati.
|
|
Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
|
speaker_14
|
anaheshimiwa na kanisa katoliki na waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
|
|
shikamoo mama wangu
|
speaker_14
|
shikamoo mama wangu
|
|
Yeye pia ni mtangazaji wa runinga.
|
speaker_14
|
yeye pia ni mtangazaji wa runinga.
|
|
Inapatikana kwa wingi maana ni sehemu kubwa ya ganda la Dunia.
|
speaker_14
|
inapatikana kwa wingi maana ni sehemu kubwa ya ganda la dunia.
|
|
Iko kwenye sehemu ya barani ya wilaya ya Lamu.
|
speaker_14
|
iko kwenye sehemu ya barani ya wilaya ya lamu.
|
|
Hata hivyo, ni ghali, na inahitaji maabara maalumu.
|
speaker_14
|
hata hivyo, ni ghali, na inahitaji maabara maalumu.
|
|
Mbegu hutumika kama chakula cha kuku.
|
speaker_14
|
mbegu hutumika kama chakula cha kuku.
|
|
Alikuwa muhimu kwa harakati za haki za kiraia.
|
speaker_14
|
alikuwa muhimu kwa harakati za haki za kiraia.
|
|
Baba yake alikua mwanasiasa.
|
speaker_14
|
baba yake alikua mwanasiasa.
|
|
Video pia iliyotolewa, katika rekodi sawa na toleo la Marekani.
|
speaker_14
|
video pia iliyotolewa, katika rekodi sawa na toleo la marekani.
|
|
Eneo la ziwa ni kavu sana na maji yake ni ya magadi.
|
speaker_14
|
eneo la ziwa ni kavu sana na maji yake ni ya magadi.
|
|
Waliobaki ni Wakristo, Wayahudi, Wahindu au hawana dini yote.
|
speaker_14
|
waliobaki ni wakristo, wayahudi, wahindu au hawana dini yote.
|
|
Lengo ni kuondoa maumivu, au kufanya kwenda kwenye usingizi mzito kabisa wakati wa upasuaji.
|
speaker_14
|
lengo ni kuondoa maumivu, au kufanya kwenda kwenye usingizi mzito kabisa wakati wa upasuaji.
|
|
Hapo baba yake akawa askofu mahali pake.
|
speaker_14
|
hapo baba yake akawa askofu mahali pake.
|
|
Yohane wa Yerusalemu.
|
speaker_14
|
yohane wa yerusalemu.
|
|
Alijiunga na Chuo Kikuu cha Mt.
|
speaker_14
|
alijiunga na chuo kikuu cha mt.
|
|
Wasemaji wote ni wazee lakini, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni.
|
speaker_14
|
wasemaji wote ni wazee lakini, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni.
|
|
ni askofu mkuu wa jimbo kuu la Kanisa Katoliki la Dar es Salaam, Tanzania.
|
speaker_14
|
ni askofu mkuu wa jimbo kuu la kanisa katoliki la dar es salaam, tanzania.
|
|
Tangu mwaka huo hadi kifo chake alikuwa askofu wa Jimbo la Tanga.
|
speaker_14
|
tangu mwaka huo hadi kifo chake alikuwa askofu wa jimbo la tanga.
|
|
Uholanzi karne za nyuma ilikuwa na Afrika Kusini.
|
speaker_14
|
uholanzi karne za nyuma ilikuwa na afrika kusini.
|
|
Tangu wakati huo, tovuti na ardhi ya eneo hilo havijatumika tena kabisa.
|
speaker_14
|
tangu wakati huo, tovuti na ardhi ya eneo hilo havijatumika tena kabisa.
|
|
Viwanda vingi hufanya mabadiliko madogo katika hatua hizi za mradi.
|
speaker_14
|
viwanda vingi hufanya mabadiliko madogo katika hatua hizi za mradi.
|
|
Tena ni programu ya kompyuta.
|
speaker_14
|
tena ni programu ya kompyuta.
|
End of preview. Expand
in Data Studio
README.md exists but content is empty.
- Downloads last month
- 22